Skip to main content

Order Materials


Hisia kali huja na kutoweka (Swahili)

Hisia kali huja na kutoweka (Swahili)

Download free PDF

Kitabu hiki cha hadithi hufundisha Watoto juu ya kuganda, kukimbiya na kupigana na huwasaidiya kujifunza ujuzi wa msingi wa kujidhibiti. Kuelewa kuganda, kukimbiya na kupigana kunaruhusu mazungumzo mapya juu ya jinsi mtoto wako anahisi na nini cha kufanya kumsasaidiya kusimamia hisia zake kubwa.

$0.00

Digital Resource